lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Mathayo 13:29 - Swahili Revised Union Version Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia. Biblia Habari Njema - BHND Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkangoa na ngano pia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akawajibu, ‘La, msije labda mnapokusanya magugu, mkang'oa na ngano pia. Neno: Bibilia Takatifu “Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo. Neno: Maandiko Matakatifu “Lakini akasema, ‘Hapana, msiyang’oe, kwa maana wakati mking’oa magugu mnaweza mkang’oa na ngano pamoja nayo. BIBLIA KISWAHILI Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo. |
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
Viacheni vyote vikue hadi wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu.