Mathayo 13:25 - Swahili Revised Union Version25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja, akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Tazama sura |