Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 13:28 - Swahili Revised Union Version

28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayangoe?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayangoe?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yeye akawajibu, ‘Adui ndiye aliyefanya hivyo’. Basi, watumishi wake wakamwuliza, ‘Je, unataka twende tukayang'oe?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayang’oe?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayang’oe?’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:28
7 Marejeleo ya Msalaba  

Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika shamba lako? Limepata wapi basi magugu?

Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo.

Ndugu, tunawasihi, waonyeni wale wasiokaa kwa utaratibu; watieni moyo walio dhaifu; watieni nguvu wanyonge; vumilieni na watu wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo