Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Mathayo 13:18 - Swahili Revised Union Version Basi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Basi, nyinyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi. Biblia Habari Njema - BHND “Basi, nyinyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Basi, nyinyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi. Neno: Bibilia Takatifu “Sikilizeni basi maana ya ule mfano wa mpanzi: Neno: Maandiko Matakatifu “Sikilizeni basi maana ya ule mfano wa mpanzi: BIBLIA KISWAHILI Basi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi. |
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Kumi na Wawili, walimwuliza kuhusu ile mifano.