Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Baryona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 13:16 - Swahili Revised Union Version Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Biblia Habari Njema - BHND “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Neno: Bibilia Takatifu Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia. BIBLIA KISWAHILI Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia. |
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Baryona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.
Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itang'aa toka gizani, ndiye aliyeng'aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.