Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Mathayo 13:10 - Swahili Revised Union Version Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” BIBLIA KISWAHILI Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? |
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Kumi na Wawili, walimwuliza kuhusu ile mifano.