Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
Mathayo 13:1 - Swahili Revised Union Version Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Neno: Bibilia Takatifu Siku hiyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari. Neno: Maandiko Matakatifu Siku iyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari. BIBLIA KISWAHILI Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari. |
Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana.