Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 13:1 - Swahili Revised Union Version

1 Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku hiyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Siku iyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:1
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.


Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.


Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana.


Akatoka tena, akaenda kando ya bahari, mkutano wote ukamwendea, akawafundisha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo