Watu wote walioketi katika ile baraza wakamkazia macho yao, wakamwona uso wake kuwa kama uso wa malaika.
Matendo 7:1 - Swahili Revised Union Version Kuhani Mkuu akasema, Je! Mambo hayo ndivyo yalivyo? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Biblia Habari Njema - BHND Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo kuhani mkuu akamuuliza Stefano, “Je, mashtaka haya ni ya kweli?” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo kuhani mkuu akamuuliza Stefano, “Je, mashtaka haya ni ya kweli?” BIBLIA KISWAHILI Kuhani Mkuu akasema, Je! Mambo hayo ndivyo yalivyo? |
Watu wote walioketi katika ile baraza wakamkazia macho yao, wakamwona uso wake kuwa kama uso wa malaika.
Naye akasema, Ndugu zangu na baba zangu, sikilizeni: Mungu wa utukufu alimtokea baba yetu Abrahamu, alipokuwa katika Mesopotamia, kabla hajakaa Harani,