Bali mimi nawaambieni, Kila amkasirikiaye ndugu yake itampasa hukumu; na mtu akimtusi ndugu yake, anastahili kuhukumiwa na baraza; na mtu akimwambia nduguye, Ewe mpumbavu, anastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
Matendo 4:15 - Swahili Revised Union Version Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Neno: Bibilia Takatifu Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi, ili wasemezane jambo hilo wao wenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao. BIBLIA KISWAHILI Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao, |