Matendo 3:3 - Swahili Revised Union Version Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Biblia Habari Njema - BHND Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Neno: Bibilia Takatifu Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. Neno: Maandiko Matakatifu Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. BIBLIA KISWAHILI Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. |
Basi alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililoitwa tao la Sulemani, wakishangaa sana.