Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Matendo 20:8 - Swahili Revised Union Version Palikuwa na taa nyingi katika ghorofa lile tulipokuwa tumekusanyika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Biblia Habari Njema - BHND Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Neno: Bibilia Takatifu Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. Neno: Maandiko Matakatifu Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. BIBLIA KISWAHILI Palikuwa na taa nyingi katika ghorofa lile tulipokuwa tumekusanyika. |
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Wakati walipoingia, wakapanda ghorofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yohana, na Yakobo, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartholomayo na Mathayo, Yakobo wa Alfayo, na Simoni Zelote, na Yuda wa Yakobo.
Kijana mmoja, jina lake Eutiko, alikuwa ameketi dirishani, akalemewa na usingizi sana; hata Paulo alipoendelea sana kuhubiri, akazidiwa na usingizi wake akaanguka toka ghorofa ya tatu; akainuliwa amekwisha kufa.