Marko 9:30 - Swahili Revised Union Version Wakatoka huko, wakapita katikati ya Galilaya; naye hakutaka mtu kujua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Biblia Habari Njema - BHND Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya Galilaya. Yesu hakupenda watu wajue alipokuwa, Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Isa hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo, Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Isa hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo, BIBLIA KISWAHILI Wakatoka huko, wakapita katikati ya Galilaya; naye hakutaka mtu kujua. |