Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu?
Marko 7:8 - Swahili Revised Union Version Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Biblia Habari Njema - BHND Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Neno: Bibilia Takatifu Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” BIBLIA KISWAHILI Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. |
Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu?
Basi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya wazee, bali hula chakula kwa mikono najisi?
Nami niliendelea katika dini ya Kiyahudi kuliko wengi walio hirimu zangu katika kabila yangu, nikajitahidi sana katika kuyashika mapokeo ya baba zangu.