Marko 7:8 - Swahili Revised Union Version8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Tazama sura |