Marko 7:35 - Swahili Revised Union Version Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Biblia Habari Njema - BHND Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Neno: Bibilia Takatifu Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. Neno: Maandiko Matakatifu Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. BIBLIA KISWAHILI Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. |
vipofu wanapata kuona, viwete wanakwenda, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Hatujawahi kuona jambo kama hili kamwe.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;