akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yuko karibu kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na kuishi.
Marko 7:32 - Swahili Revised Union Version Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Neno: Bibilia Takatifu Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu. Neno: Maandiko Matakatifu Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu na amponye. BIBLIA KISWAHILI Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. |
akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yuko karibu kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na kuishi.
Naye alikuwa akitoa pepo bubu; ikawa pepo alipotoka, yule bubu akanena, watu wakastaajabu.