Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Marko 6:50 - Swahili Revised Union Version kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni; ni mimi, msiogope. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana wote walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!” Biblia Habari Njema - BHND Maana wote walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana wote walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!” Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu wote walipomwona waliogopa. Mara Isa akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!” Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu wote walipomwona waliogopa. Mara Isa akasema nao, akawaambia, “Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!” BIBLIA KISWAHILI kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni; ni mimi, msiogope. |
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, akiwa amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.