Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 6:49 - Swahili Revised Union Version

49 Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

49 Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe,

Tazama sura Nakili

Marko 6:49
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ambaye peke yake ni mwenye kuzitandika mbingu, Na kuyakanyaga mawimbi ya bahari.

Akawaona wakitaabika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa unwakabili; hata ilipopata kama zamu ya nne ya usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; akataka kuwapita.

kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni; ni mimi, msiogope.

Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo