Marko 6:49 - Swahili Revised Union Version Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Biblia Habari Njema - BHND Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walidhani ni mzimu, wakapiga yowe. Neno: Bibilia Takatifu lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, Neno: Maandiko Matakatifu lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, BIBLIA KISWAHILI Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe, |
Akawaona wakitaabika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa unwakabili; hata ilipopata kama zamu ya nne ya usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; akataka kuwapita.
kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni; ni mimi, msiogope.