Luka 24:37 - Swahili Revised Union Version37 Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. Tazama sura |