Marko 6:44 - Swahili Revised Union Version Na walioila ile mikate walikuwa wanaume elfu tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000. Biblia Habari Njema - BHND Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume 5,000. Neno: Bibilia Takatifu Idadi ya wanaume waliokula walikuwa elfu tano. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi ya wanaume waliokula walikuwa 5,000. BIBLIA KISWAHILI Na walioila ile mikate walikuwa wanaume elfu tano. |
Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande mashuani, watangulie kwenda ng'ambo hata Bethsaida, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.