Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.
Marko 6:43 - Swahili Revised Union Version Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu kumi na viwili; na vipande vya samaki pia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Biblia Habari Njema - BHND Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Neno: Bibilia Takatifu Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. BIBLIA KISWAHILI Wakaokota vipande vilivyomegwa vya kuweza kujaza vikapu kumi na viwili; na vipande vya samaki pia. |
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.