Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
Marko 5:6 - Swahili Revised Union Version Na alipomwona Yesu kwa mbali, alipiga mbio, akamsujudia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Biblia Habari Njema - BHND Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia Neno: Bibilia Takatifu Alipomwona Isa kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. Neno: Maandiko Matakatifu Alipomwona Isa kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. BIBLIA KISWAHILI Na alipomwona Yesu kwa mbali, alipiga mbio, akamsujudia; |
Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
Na sikuzote, usiku na mchana, alikuwako makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe.
akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
Pepo nao waliwatoka watu wengi, wakipiga kelele na kusema, Wewe u Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walimjua kuwa ndiye Kristo.
Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu.