Wakapiga kelele, wakajikatakata kwa visu na vyembe kama ilivyo desturi yao, hata damu ikawachuruzika.
Marko 5:5 - Swahili Revised Union Version Na sikuzote, usiku na mchana, alikuwako makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Biblia Habari Njema - BHND Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mchana na usiku alikaa makaburini na milimani akipaza sauti na kujikatakata kwa mawe. Neno: Bibilia Takatifu Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. Neno: Maandiko Matakatifu Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. BIBLIA KISWAHILI Na siku zote, usiku na mchana, alikuwako makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. |
Wakapiga kelele, wakajikatakata kwa visu na vyembe kama ilivyo desturi yao, hata damu ikawachuruzika.
kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.
Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa uongo.