Marko 5:25 - Swahili Revised Union Version Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Biblia Habari Njema - BHND Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Neno: Bibilia Takatifu Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na mbili. Neno: Maandiko Matakatifu Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili. BIBLIA KISWAHILI Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, |
na kuvumilia mateso mengi kutoka kwa matabibu wengi, na kugharimiwa mali yake yote aliyokuwa nayo, kusimfae hata kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.
Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu muda wa miaka kumi na minane, naye amepindana, hawezi kujinyosha kabisa.