Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Marko 5:12 - Swahili Revised Union Version Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Neno: Bibilia Takatifu Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.” Neno: Maandiko Matakatifu Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.” BIBLIA KISWAHILI Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao. |
Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; nalo kundi lote likateremka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wapatao elfu mbili; wakafa baharini.
Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.