Marko 5:11 - Swahili Revised Union Version11 Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakila. Tazama sura |
Yeye achinjaye ng'ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua njia zao wenyewe, na nafsi zao zafurahia machukizo yao.