Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.
Marko 5:10 - Swahili Revised Union Version Akamsihi sana asiwapeleke nje ya nchi ile. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akamsihi Yesu asiwafukuze hao pepo katika nchi ile. Neno: Bibilia Takatifu Akamsihi Isa sana asiwapeleke nje ya nchi ile. Neno: Maandiko Matakatifu Akamsihi Isa sana asiwapeleke nje ya nchi ile. BIBLIA KISWAHILI Akamsihi sana asiwapeleke nje ya nchi ile. |
Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.
Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; nalo kundi lote likateremka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wapatao elfu mbili; wakafa baharini.