Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Marko 3:33 - Swahili Revised Union Version Akawajibu, akisema, Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Neno: Bibilia Takatifu Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” BIBLIA KISWAHILI Akawajibu, akisema, Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani? |
Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka, wakamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.
Akawatazama wale walioketi wakimzunguka pande zote, akasema, Tazama, mama yangu na ndugu zangu!
Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na dada zake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Akawaambia, Kwa nini mnitafute? Hamkujua ya kuwa imenipasa kuwamo katika nyumba ya Baba yangu?
Hata imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awaye yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemtambua Kristo kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena.
Aliyemtaja baba yake na mama yake, Mimi sikumwona; Wala nduguze hakuwakubali; Wala hakuwajua watoto wake mwenyewe; Maana wameliangalia neno lako, Wamelishika agano lako.