Na yeyote atakayelaani jina la BWANA hakika atauawa; mkutano wote watamwua kwa kumpiga kwa mawe; kama ni mgeni, kama ni mzaliwa, hapo atakapolaani jina la BWANA atauawa.
Marko 3:28 - Swahili Revised Union Version Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Biblia Habari Njema - BHND “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote; Neno: Bibilia Takatifu Amin, nawaambia, watu wataweza kusamehewa dhambi na kufuru zao zote; Neno: Maandiko Matakatifu Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; |
Na yeyote atakayelaani jina la BWANA hakika atauawa; mkutano wote watamwua kwa kumpiga kwa mawe; kama ni mgeni, kama ni mzaliwa, hapo atakapolaani jina la BWANA atauawa.
Na kila mtu atakayenena neno juu ya Mwana wa Mtu atasamehewa, bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Mtu akimwona ndugu yake anatenda dhambi isiyo ya mauti, ataomba, na Mungu atampa uzima kwa ajili ya hao watendao dhambi isiyo ya mauti. Iko dhambi iliyo ya mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hiyo.