Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.
Marko 3:25 - Swahili Revised Union Version na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia. Biblia Habari Njema - BHND Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi yanayopingana, jamaa hiyo itaangamia. Neno: Bibilia Takatifu Nayo nyumba ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama. Neno: Maandiko Matakatifu Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama. BIBLIA KISWAHILI na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama. |
Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.
Na kama Shetani ameondoka juu ya nafsi yake, akafitinika, hawezi kusimama, bali huwa na kikomo.