Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Marko 2:6 - Swahili Revised Union Version Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao, Biblia Habari Njema - BHND Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao, Neno: Bibilia Takatifu Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi pale wakawaza mioyoni mwao, Neno: Maandiko Matakatifu Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi huko wakawaza mioyoni mwao, BIBLIA KISWAHILI Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao, |
Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?
Naye Yesu akatambua, akawaambia, Mbona mnabishana kwa sababu hamna mikate? Hamfahamu bado, wala hamjaelewa? Je! Mioyo yenu ni mizito?
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;