Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 2:6 - Swahili Revised Union Version

6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi pale wakawaza mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Basi baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wameketi huko wakawaza mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,

Tazama sura Nakili

Marko 2:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

Naye Yesu akatambua, akawaambia, Mbona mnabishana kwa sababu hamna mikate? Hamfahamu bado, wala hamjaelewa? Je! Mioyo yenu ni mizito?

tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo