Marko 15:9 - Swahili Revised Union Version Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Biblia Habari Njema - BHND Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Neno: Bibilia Takatifu Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu mfalme wa Wayahudi?” Neno: Maandiko Matakatifu Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?” BIBLIA KISWAHILI Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi? |
Lakini kwenu kuna desturi ya mimi kuwafungulia mtu mmoja wakati wa Pasaka; basi, mwapenda niwafungulie Mfalme wa Wayahudi?