Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Marko 15:22 - Swahili Revised Union Version Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Biblia Habari Njema - BHND Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakampeleka Isa hadi mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakampeleka Isa mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). BIBLIA KISWAHILI Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa. |
Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.