Marko 14:42 - Swahili Revised Union Version Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Biblia Habari Njema - BHND Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Neno: Bibilia Takatifu Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” Neno: Maandiko Matakatifu Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” BIBLIA KISWAHILI Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia. |
Akaja mara ya tatu, akawaambia, Laleni sasa, mpumzike; yatosha, saa imekuja; tazama, Mwana wa Adamu anatiwa mikononi mwao wenye dhambi.
Basi alipokuwa katika kusema, mara Yuda alifika, mmoja wa wale Kumi na Wawili, na pamoja naye mkutano, wakiwa na panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani, na waandishi, na wazee.