Marko 14:42 - Swahili Revised Union Version42 Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia. Tazama sura |