Marko 13:37 - Swahili Revised Union Version Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Biblia Habari Njema - BHND Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Neno: Bibilia Takatifu Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ” Neno: Maandiko Matakatifu Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ” BIBLIA KISWAHILI Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni. |
Kesheni basi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au kwamba ni usiku wa manane, au awikapo jogoo, au asubuhi;
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini