Mikono ya wanawake wenye huruma Imewatokosa watoto wao wenyewe; Walikuwa ndio chakula chao Katika uharibifu wa binti ya watu wangu.
Marko 13:17 - Swahili Revised Union Version Lakini ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku hizo! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! Biblia Habari Njema - BHND Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! Neno: Bibilia Takatifu Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! Neno: Maandiko Matakatifu Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! BIBLIA KISWAHILI Lakini ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku hizo! |
Mikono ya wanawake wenye huruma Imewatokosa watoto wao wenyewe; Walikuwa ndio chakula chao Katika uharibifu wa binti ya watu wangu.
Samaria atachukua hatia yake; kwa maana amemwasi Mungu wake; wataanguka kwa upanga; watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande, na wanawake wao wenye mimba watatumbuliwa.
wakamwambia, Wasikia hawa wasemavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umejiandalia sifa?
Ole wao wenye mimba na wanaonyonyesha katika siku hizo! Kwa kuwa kutakuwa na shida nyingi katika nchi, na hasira juu ya taifa hili.
Kwa maana tazama, siku zitakuja watakaposema, Heri walio tasa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa yasiyonyonyesha.