Hosea 9:14 - Swahili Revised Union Version14 Wape, Ee BWANA; utawapa kitu gani? Wape tumbo lenye kuharibu mimba na maziwa makavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu! Lakini utawaadhibu namna gani? Uwafanye wanawake wao kuwa tasa; uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wape, Ee Mwenyezi Mungu, je, utawapa nini? Wape tumbo zinazoharibu mimba na matiti yaliyokauka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wape, Ee bwana, je, utawapa nini? Wape matumbo ya kuharibu mimba na matiti yaliyokauka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Wape, Ee BWANA; utawapa kitu gani? Wape tumbo lenye kuharibu mimba na maziwa makavu. Tazama sura |