Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lolote, hadi uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Marko 13:15 - Swahili Revised Union Version na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Biblia Habari Njema - BHND Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Neno: Bibilia Takatifu Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. Neno: Maandiko Matakatifu Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. BIBLIA KISWAHILI na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake; |
Hima, ujiponye huko, maana siwezi kufanya neno lolote, hadi uingiapo humo. Kwa hiyo jina la mji ule likaitwa Soari.
Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuiokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.