Marko 13:15 - Swahili Revised Union Version15 na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake; Tazama sura |