Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye shamba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.
Marko 12:8 - Swahili Revised Union Version Wakamkamata, wakamwua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo wakamkamata, wakamuua na kumtupa nje ya lile shamba la mizabibu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo wakamkamata, wakamuua na kumtupa nje ya lile shamba la mizabibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo wakamkamata, wakamuua na kumtupa nje ya lile shamba la mizabibu. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo wakamchukua na kumuua, wakamtupa nje ya lile shamba la mizabibu. BIBLIA KISWAHILI Wakamkamata, wakamwua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu. |
Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye shamba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.
Lakini wale wakulima wakasemezana, Huyu ni mrithi; haya, na tumwue, na urithi utakuwa wetu.
Basi atafanyaje yule bwana wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.
Wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi, bwana wa shamba la mizabibu atawatendaje?