Marko 12:39 - Swahili Revised Union Version na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele katika karamu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kuchukua nafasi za heshima katika karamu. Biblia Habari Njema - BHND na kuchukua nafasi za heshima katika karamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kuchukua nafasi za heshima katika karamu. Neno: Bibilia Takatifu Pia wao hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kupewa nafasi za heshima katika karamu. Neno: Maandiko Matakatifu Pia wao hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kupewa nafasi za heshima katika karamu. BIBLIA KISWAHILI na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele katika karamu; |
Akawaambia katika mafundisho yake, Jihadharini na waandishi, wapendao kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa masokoni,
ambao hula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu; hawa watapata hukumu iliyo kubwa.