Marko 12:40 - Swahili Revised Union Version40 ambao hula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu; hawa watapata hukumu iliyo kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 ambao hula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu; hawa watapata hukumu iliyo kubwa. Tazama sura |