Mpendeni BWANA, Ninyi nyote mlio watauwa wake. BWANA huwahifadhi waaminifu, Bali humlipiza mwenye kiburi ipasavyo.
Marko 12:23 - Swahili Revised Union Version Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.” Neno: Bibilia Takatifu Basi, wakati wa ufufuo yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo wakati wa ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?” BIBLIA KISWAHILI Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye. |
Mpendeni BWANA, Ninyi nyote mlio watauwa wake. BWANA huwahifadhi waaminifu, Bali humlipiza mwenye kiburi ipasavyo.
Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?