Marko 12:22 - Swahili Revised Union Version hata na wote saba, wasiache mzawa. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Biblia Habari Njema - BHND Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa. Neno: Bibilia Takatifu Hakuna hata mmoja wa hao ndugu saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa. BIBLIA KISWAHILI hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. |