Yesu akawaambia, Nitawauliza neno moja, nanyi mnijibu, kisha nitawaambia ni kwa mamlaka gani nayatenda haya.
Marko 11:30 - Swahili Revised Union Version Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Nijibuni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.” Biblia Habari Njema - BHND Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.” Neno: Bibilia Takatifu Je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu? Niambieni!” Neno: Maandiko Matakatifu Niambieni, je, ubatizo wa Yahya ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” BIBLIA KISWAHILI Ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Nijibuni. |
Yesu akawaambia, Nitawauliza neno moja, nanyi mnijibu, kisha nitawaambia ni kwa mamlaka gani nayatenda haya.
Wakasemezana wao kwa wao, wakisema, Kama tukisema, Ulitoka mbinguni, atasema, Mbona, basi, hamkumwamini?
Lakini nawaambia, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.
Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa,