Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Marko 10:7 - Swahili Revised Union Version Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Biblia Habari Njema - BHND Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Neno: Bibilia Takatifu ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; |
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.